Unataka
mafanikio katika maisha
yako ? Unatafuta utajiri
? Biashara yako haiendi
vizuri ? Unatafuta mke
au mume ?
Unasumbuliwa na Matatizo
Ya Uzazi ? Unasumbuliwa
na Magonjwa Sugu
? Unasumbuliwa na
madeni ? Unakabiliwa na
kesi ? Unaandamwa na
mikosi na nuksi? Unasumbuliwa na
majini na mapepo
wachafu ? Unasumbuliwa na
laana ya ukoo ?
Unataka kupata suluhisho
la matatizo yanayo
kukabili ? JIUNGE
NA UNGOAFRIKA SPIRITUAL
MOVEMENT ( USMO ). Ni
Taasisi ya Kiimani
inayo wasaidia wanadamu
kukabiliana na matatizo
mbalimbali yanayo wakabili. WASILIANA NASI
KWA SIMU : 0683528250
UNGOAFRIKA
Jumatano, 30 Oktoba 2013
JOIN UNGOAFRIKA SPIRITUAL MOVEMENT
UNGOAFRIKA SPIRITUAL
MOVEMENT ( USMO ) have contributed immensely towards the
upliftment of human kind.
We initiate members into the most
powerful spiritual reign for richness. We handle cases like... Success in
business, Do as i say, Be my wife and be my husband forever, Money
invocation,Awarding contract, Winning court cases, land cases, Winning pool and
lotto, Exam sucess,Life protection, Be a super model, etc....
We offer instant settlement
to every new members inorder to establish into any business of their
choice. The followers of
this organization has attained the highest consciousness of power,who will rule
the world spiritually for 2000 years beginning from 1976.Our Objectives is to
achieve your heart desires. Contact the earthly representative of the ASCENDED
MASTERS of THE SAT GOPINATHA spiritual guide in Africa.we also undertake the followings:: BUSINESS
BOOMING CHARMS,AVERSION OF SUDDEN DEATH,VISIONARY POWER,HEALING POWER
,SPIRITUAL FORTIFICATION,CAREER UPLIFTING,MARRY ME ALONE/LOVE ATTRACTION,
REMOVAL OF CURSES e.t.c
we conduct initiation into the highest mysteries for SOCIETY FOR WEALTH AND POWER.
we conduct initiation into the highest mysteries for SOCIETY FOR WEALTH AND POWER.
For more details and membership,
contact 0683528250
TUNAUZA BIDHAA NA VIFAA MBALIMBALI VYA KIROHO ( SPIRITUAL ITEMS & PRODUCTS )
AFRIKAN SPIRITUAL
PRODUCTS
Tunauza vifaa
( items ), bidhaa ( products
) pamoja na
mitishamba ( Both medicinal
& spiritual herbs )
kwa ajili ya
matumizi mbalimbali ya
mwanadamu.. Baadhi ya bidhaa
tulizo nazo ni
pamoja na :
i.
Mitishamba inayo
tibu magonjwa na
maradhi mbalimbali yanayo
msumbua mwanadamu.
ii.
Mitishamba yenye
nguvu za kiroho inayo
tumika katika shughuli mbali
za maisha ya
mwanadamu.
iii.
Vifaa mbalimbali
vinavyo tumika kwenye
shughuli mbalimbali za
kiroho.
Bidhaa zetu
zinatoka katika mikoa
yote ya Tanzania
bara na visiwani, nchi zote
za kiafrika, India,
Mashariki Ya Kati, Afrika
Ya Kaskazini na
Maghreb Region.
Tunaptikana jijini
Dar Es salaam.
Wasiliana nasi
kwa Simu : 0683528250
Jumatano, 18 Septemba 2013
UKWELI KUHUSU SAYANSI YA KIAFRIKA.
·
UKWELI
KUHUSU SAYANSI YA KIAFRIKA.
·
“
MAARIFA SAHIHI NDIO JIBU LA
KILA KITU “
·
Sayansi
maana yake ni maarifa . Tunapo zungumzia
dhana ya sayansi ya kiafrika , tunakuwa
tunamaanisha matumizi ya maarifa ya kiafrika
katika kukabiliana na mazingira ya
mwanadamu pamoja na changamoto mbalimbali
zinazo mkabili . Tafiti mbalimbali za ki
akiolojia na ki-anthropolojia zinaonyesha kuwa
sayansi ya kiafrika imekuwapo kwa takribani
miaka bilioni mbili sasa, hii ikiwa na
maana kuwa sayansi ama ustaarabu wa
kiafrika ndio ustaarabu mkongwe kupita
ustaarabu mwingine wowote ule katika sayari
ya dunia. Hata ustaarabu wa
jamii mbalimbali duniani kama vile waajemi,
wayunani (Ugiriki ya kale ), wamisri, wasumeri (
Mesopotamia/babiloni ) ya kale nakadhalika,
unatokana na ustaarabu ambao msingi wake
ni sayansi ya kiafrika.
·
Sayansi
ya kiafrika imethibitika kumsaidia mwanadamu
katika kukabiliana na mazingira yake
kwa zaidi ya asilimia tisini na tisa (99%).
·
Kwa
bahati mbaya sana, sayansi ya kiafrika
imepewa jina baya kwa kuitwa
uchawi na kupigwa vita mbaya tangu mamia ya
miaka iliyopita, lengo kuu likiwa ni
kumuondolea mwanadamu uwezo wa kiungu ulio
wekwa ndani yake wa kukabiliana na
changamoto mbalimbali zinazo mkabili katika
maisha yake ya kila siku.
·
Hata
hivyo watu hawa walio mstari wa
mbele katika kuipiga vita sayansi ya
kiafrika, bado wanaendelea kuitumia sayansi ya
kiafrika katika maisha yao ya kila siku japo
kwa usiri mkubwa sana, ilihali wakati
huo huo wakiendelea kuipiga vita sayansi
hii. Watu hawa wanataka maarifa haya
yawe ni kwa watu wachache
·
“ The
Choosen Few “ huku mamilioni ya walio
baki wakiendelea kuishi katika giza
bila kujua kitu chochote kile kinacho
endelea kwenye maisha yao. Hali hii
imewafanya waendelee kuitawala dunia kwa
muda mrefu sana kwa kutumia nyenzo
mbalimbali za ku-control fikra za wanadamu.
Hofu kuu ya watu hawa ni
kwamba, endapo kila mwanadamu ataifahamu vyema
misingi ya sayansi ya kiafrika, itakuwa
vigumu sana kwa wao kumtawala kwa
sababu kila mtu atakuwa na uwezo wa
kuyatawala mazingira yake na kukabiliana na
changamoto za aina yoyote ile zinazo
yakabili maisha ya kila siku ya mwanadamu…
· Sayansi ya kiafrika
humjengea mwanadamu uwezo
wa kuwa na
mamlaka juu ya
vitu vyote vilivyopo
hapa duniani, vinavyo onekana
na visivyo onekana. Humpa uwezo
wa kuvitiisha vitu
vyote vilivyo na
uhai na visivyo
na uhai.. Kwa ufupi
inamfanya kuwa na
umoja na Mungu.
· Miongoni
mwa mambo ya kawaida
kabisa anayo fundishwa
mwanadamu katika sayansi
ya kiafrika ni
pamoja na :
·
Somo la AKILI-UMEME-SAUTI ama MIND-ELECTRICITY-SOUND . Elimu hii
humpa mwanadamu uwezo
wa kuwa- control wanadamu
wenzake kifikra, uwezo wa
kuwatawala majini na
viumbe wasio onekana
na macho ya
nyama, uwezo wa kuumba vitu, mambo
na hali za
aina mbalimbali kwa
kutumia maneno, uwezo wa
kupeleka heri au
shari kwa wanadamu, wanyama, mimea na
roho, uwezo wa kuvitiisha
viumbe vyote vya
nchi kavu,uwezo wa
kutumia nguvu ya
akili katika kufanya
mambo mbalimbali nakadhalika.
·
Somo
la UMEME & HEWA au
ELECTRICITY & AIR.
Elimu hii humpa
mwanadamu uwezo wa
kupaa angani, uwezo wa kuitiisha
anga na viumbe
vyote vya angani, uwezo
wa kuwasiliana na
kuvi control viumbe vinavyo
ishi kwenye upepo, uwezo
wa kupeleka ujumbe
kutoka sehemu moja
ya dunia kwenda
sehemu nyingine yoyote
ile, uwezo wa kusafiri
angani nakadhalika.
·
Somo la
NECROMANCIA ama NEGROMANCIA ambalo humpa
mwanadamu uwezo wa
kuwasiliana na kuzungumza
na roho za watu walio
kwisha kufa.
·
Uwezo
wa kuwasiliana na
viumbe vya mtoni, ziwani
na baharini
·
Mamlaka ya
kuvitiisha viumbe vyote
vya duniani, vya nchi kavu, baharini, na angani, vinavyo onekana
na visivyo onekana.
·
Uwezo wa
kuona vitu visivyo
onekana na wanadamu
·
Uwezo wa
kusikia sauti zisizo sikiwa
na wanadamu.
·
Uwezo wa
kufanya mambo katika
namna ya kiungu.
o
Hayo ni
moja kati ya
maaarifa machache yanayo
patikana katika sayansi
ya kiafrika.
· Kwa ufupi, sayansi ya
kiafrika inampa mwanadamu
mamlaka kamili ya
kuwa kitu kimoja
na Mungu. Mfalme
Suleiman ni miongoni
mwa wanadamu walio
pata bahati ya
kupewa maarifa haya, habari zake nadhani wengi
wetu tuna zifahamu.
· Endapo wanadamu
watazingatia misingi ya
sayansi ya kiafrika, basi wataweza
kuyatawaka mazingira yao
pamoja na changamoto
mbalimbali zinazo wakabili
kwa kiwango kikubwa
sana.
· MUNGU NI
NANI KWA MTAZAMO WETU?
· Kwetu sisi
MWENYEZI MUNGU ni
NGUVU KUU YA
UHAI ( THE MOST GREATEST FORCE
OF LIFE ). Nguvu
Ya Uhai ni nini ? Nguvu ya
uhai ni roho
ama nishati inayo
vifanya viumbe viishi na/ama
viwepo au ni roho
ama nishati inayo
weka uhai kwenye
viumbe vyote vinavyo onekana na
visivyo onekana. Hivyo
basi kwetu sisi MWENYEZI
MUNGU ndio NGUVU
KUU YA UHAI, kwa
maana yeye ndio
chanzo cha uhai wa
kila kiumbe cha
hapa duniani, kinacho
onekana na kisicho
onekana.
· Wakati mwingine
huwa tunamtaja Mungu
kama MOVENS IMMOBILE yaani UNMOVED
MOVER.
· UHUSIANO KATI
YA MUNGU NA
MWANADAMU.
· Sisi tuna
amini kuwa MUNGU
NA MWANADAMU ni
kitu kimoja. Mwanadamu anatoka
kwa MWENYEZI MUNGU. Kama nilivyo
eleza hapo awali, Mwenyezi Mungu
ndio NGUVU KUU
YA UHAI, ndio CHANZO
KIKUU CHA UHAI, hivyo basi
kila kiumbe chenye
uhai kinatoka kwenye
chanzo cha uhai, nguvu inayo
mfanya mwanadamu aishi, inatoka kwa Mungu, nguvu hiyo
ni Mungu mwenyewe, kwa
maana nyingine mwanadamu
ni muungu mdogo, Mungu anajidhihirisha kupitia
huyu mwanadamu. Kwa lugha nyingine
ni kwamba, wanadamu ni
vidhihirisho vya pembeni
vya CHANZO KIKUU
CHA UHAI. Vidhihirisho hivi, vinapotambua nguvu
iliyopo ndani yake
na kuanza kuitumia vyema, NGUVU
KUU YA UHAI
ambayo ndio chanzo
kikuu cha uhai, hujidhihirisha pamoja
navyo, inapofikia hatua hii, vidhihirisho hivyo
huwa kitu kimoja na
kidhihirisho kikuu na
hufanya mambo yake
katika mfano wa
CHANZO KIKUU CHA
UHAI. YESU alilitambua
hili ndio maana
ali fanikiwa ku atain eternity akiwa
duniani, mara nyingi alikuwa
akisema “ MIMI NA BABA
TU KITU KIMOJA “. Hapa alimaanisha
kuwa yeye na
Mungu ni kitu
kimoja, sio katika form ( muundo) bali
katika consciousness. Wayahudi hawakulitambua hili
ndio maana walidhani
anakufuru.
· Kwa wale
mnao taka kujifunza
zaidi kuhusu sayansi
ya kiafrika, tafadhali tuandikieni :
ungoafrika@gmail.com au
Tembeleeni http://www.ungoafrika.blogspot.com
· SIMU
: 0686865167
· MAARIFA NDIO
JIBU LA KILA KITU.
Jumapili, 1 Septemba 2013
JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa tunatoa kozi maalumu ya kujifunza kozi iitwayo “ SAYANSI YA AFRIKA”. Katika kozi hii utajifunza namna ya kutumia NGUVU YA SAYANSI YA KIAFRIKA katika kukabiliana na masuala mbalimbali yanayo zunguka maisha ya kila siku ya mwanadamu kama vile (mapenzi/mahusiano, ndoa), biashara, kazi, ulinzi na magonjwa.
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, na tunao wataalamu walio bobea katika sayansi ya kiafrika kutoka katika makabila yote ya Tanzania bara na visiwani. Wataalamu wetu wana ujuzi na uzoefu wa SAYANSI YA KIAFRIKA kutoka katika mataifa yote ya kiafrika,Arabuni na India.
Tupo jijini Dar Es salaam.
Masomo kuanza, tarehe 01 OKTOBA 2013
Kujiandikisha, tuandikie kupitia barua yetu : ungoafrika@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 SEPTEMBA 2013.
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, “ SAYANSI YA KIAFRIKA”
KWA PAMOJA TUUNGANE KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA, MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA MWAFRIKA.
Kwa updates kuhusu taasisi yetu na shughuli zetu, endelea kutembelea:
http:// www. ungoafrika.blogspot.com
UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa tunatoa kozi maalumu ya kujifunza kozi iitwayo “ SAYANSI YA AFRIKA”. Katika kozi hii utajifunza namna ya kutumia NGUVU YA SAYANSI YA KIAFRIKA katika kukabiliana na masuala mbalimbali yanayo zunguka maisha ya kila siku ya mwanadamu kama vile (mapenzi/mahusiano, ndoa), biashara, kazi, ulinzi na magonjwa.
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, na tunao wataalamu walio bobea katika sayansi ya kiafrika kutoka katika makabila yote ya Tanzania bara na visiwani. Wataalamu wetu wana ujuzi na uzoefu wa SAYANSI YA KIAFRIKA kutoka katika mataifa yote ya kiafrika,Arabuni na India.
Tupo jijini Dar Es salaam.
Masomo kuanza, tarehe 01 OKTOBA 2013
Kujiandikisha, tuandikie kupitia barua yetu : ungoafrika@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 SEPTEMBA 2013.
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, “ SAYANSI YA KIAFRIKA”
KWA PAMOJA TUUNGANE KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA, MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA MWAFRIKA.
Kwa updates kuhusu taasisi yetu na shughuli zetu, endelea kutembelea:
http:// www. ungoafrika.blogspot.com
Jumatano, 28 Agosti 2013
KARIBUNI UNGO AFRIKA
UNGO AFRIKA
ni Taasisi inayo jihusisha na ku promote, mila,
desturi na tamaduni za mwafrika, kuanzia sayansi, muziki,
filamu, mavazi, vyakula,matibabu, familia, ndoa,mazishi na mfumo mzima wa maisha ya mwafrika Neno
UNGO linatokana na sayansi maarufu ya
kiafrika ambapo waafrika wenye ujuzi wa
sayansi hii, hutumia UNGO kusafiri kutoka
sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Kufahamu
kuhusu shughuli zetu endelea kutembelea blogu
yetu kila siku.
UNGO AFRIKA:
MLINZI WA AMALI ZA MWAFRIKA.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)