JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya
utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia
watu wote kuwa tunatoa kozi maalumu ya kujifunza kozi iitwayo “
SAYANSI YA AFRIKA”. Katika kozi hii utajifunza namna ya kutumia
NGUVU YA SAYANSI YA KIAFRIKA katika kukabiliana na masuala
mbalimbali yanayo zunguka maisha ya kila siku ya mwanadamu kama
vile (mapenzi/mahusiano, ndoa), biashara, kazi, ulinzi na magonjwa.
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, na tunao wataalamu walio
bobea katika sayansi ya kiafrika kutoka katika makabila yote ya
Tanzania bara na visiwani. Wataalamu wetu wana ujuzi na uzoefu
wa SAYANSI YA KIAFRIKA kutoka katika mataifa yote ya
kiafrika,Arabuni na India.
Tupo jijini Dar Es salaam.
Masomo kuanza, tarehe 01 OKTOBA 2013
Kujiandikisha, tuandikie kupitia barua yetu : ungoafrika@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 SEPTEMBA 2013.
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, “ SAYANSI YA KIAFRIKA”
KWA PAMOJA TUUNGANE KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA, MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA MWAFRIKA.
Kwa updates kuhusu taasisi yetu na shughuli zetu, endelea kutembelea:
http:// www. ungoafrika.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni